Namna ya Kutumia Dalali Connect
Jifunze jinsi ya kuanza safari yako ya biashara na Dalali Connect katika hatua rahisi
Pakua App
Pakua Dalali Connect App kupitia Play Store au tembelea dalaliconnect.com
Jisajili Bure
Fungua akaunti kwa kutumia namba ya simu au barua pepe.
Weka Huduma au Mali Yako
Ongeza nyumba, kiwanja, gari, apartment, hostel, Airbnb au huduma yoyote unayotoa.
Weka Maelezo Sahihi
Weka picha nzuri, bei, eneo na maelezo mafupi ili kuwavutia wateja.
Pata Wateja Haraka
Wateja wanaotafuta huduma zako watawasiliana nawe moja kwa moja.
Funga Biashara Kwa Urahisi
Ongea na mteja, fanya makubaliano na funga dili bila usumbufu.
Tayari Kuanza?
Dalali Connect inakuwezesha kufikia wateja zaidi, kuuza haraka, na kukuza biashara yako bila matatizo. Jiunge na jamii ya wafanyabiashara wanaofanikiwa leo!
Usajili ni bure kabisa - hakuna malipo ya awali
Weka matangazo bila kikomo kwa bei nafuu
Msaada wa wataalamu unaopatikana 24/7


